{
"desktop-auth.login.signup-time-out": "Muda wa kujisajili umeisha, tafadhali jaribu tena",
"desktop-auth.login.login-time-out": "Muda wa kukaa kwenye akaunti umeisha, tafadhali jaribu tena",
"desktop-auth.login.millions-of-songs": "Mamilioni ya nyimbo.",
"desktop-auth.login.free-on-spotify": "Bila malipo kwenye Spotify.",
"desktop.login.LoginButton": "Ingia katika akaunti",
"desktop.login.SignupHeroText": "Jisajili ili ufungue akaunti ya Spotify bila malipo.",
"desktop.login.SignupAlmostDone": "Unakaribia kumaliza",
"desktop.login.DontHaveAnAccountSignup": "Je, huna akaunti? Jisajili",
"desktop.login.LoginHeroText": "Ingia katika akaunti ili uendelee.",
"desktop.login.SignupOr": "AU",
"desktop.login.ContinueWithFacebook": "Endelea kwa kutumia Facebook",
"desktop.login.ContinueWithGoogle": "Endelea kwa kutumia Google",
"desktop.login.ContinueWithApple": "Endelea kwa kutumia Apple",
"desktop.login.PreferencesLink": "Mipangilio",
"desktop.login.Back": "Rudi nyuma",
"desktop-auth.login.not-seeing-browser": "Je, huoni kichupo cha kivinjari?",
"desktop-auth.login.try-again": "Jaribu tena",
"desktop-auth.login.go-to-browser-signup": "Nenda kwenye kivinjari chako ili uendelee",
"desktop-auth.login.go-to-browser-login": "Nenda kwenye kivinjari chako ili uingie katika akaunti",
"desktop-auth.login.log-in-with-browser": "Ingia katika akaunti",
"desktop-auth.login.new-to-spotify": "Wewe ni mgeni kwenye Spotify?",
"desktop-auth.login.sign-up-with-browser": "Jisajili bila malipo",
"desktop.login.LoginWithEmailTitle": "Ingia katika akaunti ukitumia jina lako la mtumiaji au anwani ya barua pepe",
"desktop.login.LoginUsernameOrEmail": "Anwani ya barua pepe au jina la mtumiaji",
"desktop.login.LoginPassword": "Nenosiri",
"desktop.login.forgotPassLink": "Badilisha Nenosiri",
"desktop.login.RememberMeLabel": "Nikumbuke",
"desktop.login.email.errorMessageA11y": {
"one": "Kuna hitilafu {0} kwenye fomu hii, tafadhali irekebishe kabla ya kuiwasilisha.",
"other": "Kuna hitilafu {0} kwenye fomu hii, tafadhali zirekebishe kabla ya kuiwasilisha."
},
"desktop.login.SignupEmail": "Anwani ya barua pepe",
"desktop.login.CreateAPassword": "Buni nenosiri",
"desktop.login.SignupName": "Ungependa tukuite jina gani?",
"desktop.login.SendEmailImplicitLabel": "Huenda tukakutumia barua pepe zenye habari na ofa mara kwa mara. Nenda kwenye ukurasa wako wa Arifa za barua pepe ili udhibiti ujumbe tunaokutumia.",
"desktop.login.SendEmailLabel": "Tafadhali nitumie arifa za utangazaji kutoka Spotify.",
"desktop.login.Female": "Mke",
"desktop.login.Male": "Mume",
"desktop.login.NonBinary": "Siegemei upande wowote",
"desktop.login.gender.Other": "Nyingine",
"desktop.login.gender.PreferNotToSay": "Nisingependa kusema",
"desktop.login.WhatsYourSignupBirthDate": "Ulizaliwa tarehe gani?",
"desktop.login.WhatsYourSignupGender": "Jinsia yako ni ipi?",
"desktop.login.Continue": "Endelea",
"desktop.login.SignupButton": "Jiunge na Spotify",
"desktop.login.AlreadyOnSpotifyLogin": "Tayari umejisajili kwenye Spotify? Ingia katika akaunti",
"desktop.login.birthDate.incomplete": "Tafadhali weka tarehe yako ya kuzaliwa",
"desktop.login.birthDate.invalid": "Tafadhali weka tarehe sahihi ya kuzaliwa",
"desktop.login.password.valueMissing": "Tafadhali chagua nenosiri",
"desktop.login.password.tooShort": "Tafadhali tumia angalau herufi 8 katika nenosiri lako",
"desktop.login.email.valueMissing": "Tafadhali weka anwani yako ya barua pepe",
"desktop.login.email.typeMismatch": "Tafadhali weka anwani sahihi ya barua pepe",
"desktop.login.name.valueMissing": "Tafadhali weka jina",
"desktop.login.gender.valueMissing": "Tafadhali bainisha jinsia yako",
"desktop.login.agreeEula.notAccepted": "Tafadhali kubali vigezo na masharti ili uendelee.",
"desktop.login.UnknownLoginErrorMessage": "Huduma haipatikani kwa muda, tafadhali jaribu tena baadaye.",
"desktop.login.DefaultErrorMessage": "Huenda kinga mtandao inazuia Spotify. Tafadhali sasisha kinga mtandao yako ili uruhusu Spotify. Vile vile unaweza kujaribu kubadilisha mipangilio ya seva mbadala inayotumika sasa",
"desktop.login.SessionTerminatedMessage": "Kipindi chako kimetamatishwa",
"desktop.login.SessionExpiredMessage": "Muda wa kipindi chako umeisha, tafadhali jaribu tena.",
"desktop.login.BadCredentialsMessage": "Jina la mtumiaji au nenosiri si sahihi.",
"desktop.login.ErrorResolvingDNS": "Hamna muunganisho wa intaneti.",
"desktop.login.ErrorProxyUnauthorized": "Mtandao wako wa intaneti unazuia Spotify. Wasiliana na msimamizi wa mtandao wako ili upate idhini ya kufikia.",
"desktop.login.ErrorProxyForbidden": "Mtandao wako wa intaneti unazuia Spotify. Wasiliana na msimamizi wa mtandao wako ili upate idhini ya kufikia.",
"desktop.login.ErrorProxyAuthRequired": "Mtandao wako wa intaneti unazuia Spotify. Wasiliana na msimamizi wa mtandao wako au ubadilishe mipangilio yako ya seva mbadala.",
"desktop.login.CriticalUpdate": "Programu yako inasasishwa.",
"desktop.login.UserBannedMessage": "Akaunti imefungwa.",
"desktop.login.UserNotAllowedOnPlatformMessage": "Akaunti yako haijaruhusiwa kutumia kifaa hiki.",
"desktop.login.MissingUserInfoMessage": "Wasifu wa mtumiaji haujasasishwa kikamilifu, tafadhali sasisha wasifu wako, kisha uondoke na uingie tena katika akaunti.",
"desktop.login.RegionMismatchMessage": "Nchi uliyoweka hailingani na nchi iliyowekwa katika wasifu wako. Ili uendelee kutumia, sasisha wasifu wako au boresha akaunti yako ya Spotify iwe ya kulipia.",
"desktop.login.PremiumUsersOnlyMessage": "Programu inaweza kutumiwa na watumiaji wa Premium pekee.",
"desktop.login.CreateUserDeniedMessage": "Tayari anwani ya barua pepe inatumiwa na mtumiaji mwingine.",
"desktop.login.ClientUpdateFail": "Tafadhali pakua toleo jipya zaidi kwenye tovuti ya Spotify.",
"desktop.login.FbUserNotFoundSignUp": "Huna akaunti ya Spotify iliyounganishwa na akaunti yako ya Facebook. Ikiwa una akaunti ya Spotify, tafadhali ingia katika akaunti kwa kutumia vitambulisho vyako vya Spotify. Ikiwa huna akaunti ya Spotify, jisajili.",
"desktop.login.errorCode": "(Msimbo wa hitilafu: {0})",
"desktop.login.January": "Januari",
"desktop.login.February": "Februari",
"desktop.login.March": "Machi",
"desktop.login.April": "Aprili",
"desktop.login.May": "Mei",
"desktop.login.June": "Juni",
"desktop.login.July": "Julai",
"desktop.login.August": "Agosti",
"desktop.login.September": "Septemba",
"desktop.login.October": "Oktoba",
"desktop.login.November": "Novemba",
"desktop.login.December": "Desemba",
"desktop.login.Year": "Mwaka",
"desktop.login.Month": "Mwezi",
"desktop.login.Day": "Siku",
"desktop.login.TermsAndConditions": "Vigezo na Masharti ya Kutumia Spotify",
"desktop.login.PrivacyPolicy": "Sera ya Faragha",
"desktop.login.SignupAgree": "Kwa kubofya {0}, unakubali {1}.",
"desktop.login.PrivacyPolicyAgree": "Ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi Spotify inavyokusanya, kutumia, kushiriki na kulinda data yako ya binafsi, tafadhali soma {0} ya Spotify.",
"desktop.login.SignupAgreeCheckboxSpecificLicenses": "Ninakubali {0}.",
"desktop.login.SignupAgreeCheckbox": "Ninakubali {0} na {1}.",
"desktop.login.TermsOfServiceAgreeCheckbox": "Ninakubali {0}.",
"desktop.login.PrivacyPolicyAgreeCheckbox": "Ninatoa idhini ya kukusanya, kuchakata na kutumia taarifa yangu ya binafsi kama ilivyofafanuliwa zaidi katika {0}.",
"desktop.login.SignupButtonFacebookNirvana": "Jisajili kwa kutumia Facebook",
"desktop.settings.proxy.autodetect": "Tambua mipangilio kiotomatiki",
"desktop.settings.proxy.noproxy": "Hamna seva mbadala",
"desktop.settings.proxy.http": "HTTP",
"desktop.settings.proxy.socks4": "SOCKS4",
"desktop.settings.proxy.socks5": "SOCKS5",
"desktop.settings.proxy.title": "Mipangilio ya Seva Mbadala",
"desktop.settings.proxy.type": "Aina ya seva mbadala",
"desktop.settings.proxy.host": "Mwandalizi",
"desktop.settings.proxy.port": "Mlango",
"desktop.settings.proxy.user": "Jina la mtumiaji",
"desktop.settings.proxy.pass": "Nenosiri",
"settings.restartApp": "Funga na Ufungue Programu"
}